• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MHE. SAMIZI AKABIDHI PIKIPIKI 14 KWA MAAFISA UGANI WA MANISPAA YA SHINYANGA

Posted on: February 28th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi leo tarehe 28 Februari, 2023 amekabidhi pikipiki 14 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga huku akiwataka kwenda kuzifanyia kazi iliyokusudiwa na kuleta tija yenye mabadiliko ya haraka kwa wakulima.

Akiongea wakati wa hafla hiyo fupi Mhe. Johari aliwaambia wataalamu hao kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita imekusudia kuwawezesha wataalamu katika ngazi zote kwa lengo la kwenda kuongeza tija na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili waweze kuwahudumia vema zaidi wananchi.

"Nitoe angalizo kwenu wataalamu kuwa, Serikali imewawezesha vitendea kazi hivi ili muende kuongeza tija na ufanisi zaidi katika utekelezaji wa majukumu yenu, ikalete mabadiliko na mafanikio yakaonekane kwa wananchi wetu na siyo muende mkazitumie vinginevyo, ikibainika Serikali itamchukulia hatua kali mtumishi huyo," amesema Mhe. Johari.

Awali akimkaribisha Mkuu wa Wilaya, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Masumbuko alisema kuwa anaishukuru sana Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwajali watumishi wakiwemo wa Manispaa ya Shinyanga ambapo imepokea pikipiki 14 ikiwa ni gawiwo kwa ajili ya wataalamu wa Ugani.

Akiongea kwa niaba ya Maafisa Ugani Bi. Rashida Masawe ambaye ni Afisa Ugani wa Kata ya Kizumbi alisema kuwa wanamshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia vyombo vya usafiri, na kwamba, maelekezo ya Mkuu wa Wilaya Mhe. Johari Samizi wataenda kuongeza tija zaidi na wala hawatatumia pikipiki hizo tofauti na lengo kusudiwa.

Hafla ya kukabidhi pikipiki 14 kwa maafisa ugani imefanyika mbele ya Ukumhi wa Lewis Kalinjuna uliopo Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga na kuhudhuriwa na baadhi ya Waheshimiwa Madiwani wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Masumbuko, Katibu Tawala wa Wilaya ya Shinyanga Ndg. Bonipahce Chambi, Wakuu wa Divisheni, Vitengo pamoja na wataalamu mbalilmbali wa Manispaa ya Shinyanga.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.