• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MHE. MWEBEA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MANISPAA YA SHINYANGA.

Posted on: June 5th, 2025

MHE. MWEBEA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI MANISPAA YA SHINYANGA.


Na: Shinyanga MC


Naibu Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Mhe. Zamda Mwebea, ameongoza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo Juni 5, 2025 katika Soko la Nguzonane, Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, Maadhimisho hayo yaliambatana na zoezi la usafi wa mazingira katika maeneo ya soko hilo.


Akizungumza wakati wa maadhimisho haya, Mhe. Mwebea ametoa wito kwa wananchi wa Manispaa ya Shinyanga kuendeleza utamaduni wa kufanya usafi wa mazingira yao ya nyumbani na maeneo ya kazi, ili kulinda afya za wananchi na kuhifadhi mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.


“Leo tunaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Zoezi la usafi tulilofanya hapa ni sehemu ya kuwakumbusha wananchi kuhusu umuhimu wa utunzaji wa mazingira. Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mazingira safi na maisha bora ya mwanadamu. Wazazi wetu walitupandia miti na kutuachia mazingira rafiki; nasi tuendelee kupanda miti ili na vizazi vyetu vipate mazingira bora ya kuishi,” amesema Mhe. Zamda.


Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Maliasili na Mazingira wa Manispaa ya Shinyanga, Ndg. Ezra Manjerenga, amesema kaulimbiu ya mwaka huu inawahimiza wananchi kuepuka matumizi ya plastiki na kuhamasisha matumizi ya mifuko mbadala ili kulinda mazingira dhidi ya uharibifu unaotokana na taka zisizooza.


“Maadhimisho ya siku ya Mazingira kwa mwaka 2025 yanaongozwa na Kaulimbiu ya mwaka inasema: ‘Mazingira Yetu na Tanzania Ijayo Tuwajibike Sasa; Dhibiti Matumizi ya Plastiki’. Ni wito wa kitaifa unaotufundisha kuchukua hatua sasa ili kulinda mustakabali wa mazingira yetu,” amesema Ndg. Manjerenga.


Maadhimisho haya ni sehemu ya jitihada za Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kuhamasisha ushiriki wa jamii katika kutunza mazingira na kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa vitendo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.