• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MHE. MNDEME AONGOZA WANASHINYANGA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA NDUGU SALU NDONGO

Posted on: November 20th, 2023

MHE. MNDEME AONGOZA WANASHINYANGA KUTOA HESHIMA YA MWISHO KWA NDUGU SALU NDONGO .

Na. Shinyanga Mc

MKUU wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina S. Mndeme jana tarehe 19 Novemba, 2023 aliongoza wananchi, viongozi wa dini, serikali na chama katika kutoa heshima ya mwisho kwa Ndg. Salu Ndongo aliyekuwa Afisa Ardhi Mfawidhi Manispaa ya Shinyanga tukio lililofanyika katika Kanisa la Waadventista Wasabato lililopo Shinyanga huku akiwakumbusha kuishi kwa utayari kwani hatujui siku wala saa ambapo tutakumbwa na umauti.

Mhe. Mndeme amesema kuwa, alipokea kwa mstuko taarifa ya msiba huu kwakuwa alikuwa akimfahamu na uchapa kazi wake na kwamba serikali inatoa pole sana kwa wanajumuiya ya shinyanga manispaa kwa ujumla kwa msiba huu, na kumsihi Mjane wa marehemu na kumtaka kushikilia zaidi msalaba pamoja na kumtumainia Yesu kwakuwa yeye ni mfariji wakati wote na baba wa Yatima na Wajane.

"Ndugu zangu, msiba huu unatukumbusha kuishi kwa utayari kwani hatujui siku wala saa umauti nasi utatukuta, pia tuendelee kumtumainia Mungu wakati wote," alisema Mhe. Mndeme.

Kwa upande wake Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato Razalo Mbogo amesema kuwa, yeye binafsi amemfahamu kwa muda mrefu sana marehemu Ndongo, na kwamba alikuwa mchapakazi anayehudumia wananchi kwa haraka na kwa uzalendo zaidi na ndiyo maana msiba huu umegusa wananchi wengi zaidi.

Marehemu Salu Ndongo alifariki tarehe 17 Novemba, 2023 kwa ajari ya gari aliyokuwa akiendesha mwenyewe katika eneo la kalogo manispaa ya shinyanga na mazishi yatafanyika leo tarehe 20 Novemba, 2023 kijijini kwao Gangabilili, wilaya ya Itilima - Simiyu.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.