- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga Mwl.Alexius R. Kagunze leo Novemba 27, 2024 ameshiriki kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwenye kituo cha kupigia kura Ukumbi wa Lewis Kalinjuna Mtaa wa Chamaguha Manispaa ya Shinyanga ikiwa ni kutimiza haki yake ya Kikatiba.
Uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa Manispaa ya Shinyanga unajumla ya kata 17, vijiji 17, mitaa 55 na vitongoji 84.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.