- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Picha za matukio mbalimbali wakati wa Mafunzo kwa Waendeshaji wa Kifaa cha Bayometriki na Maafisa Waandishi wasaidizi kuelekea zoezi la kuboresha taarifa kwenye Daftari la kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili linalotarajiwa kuanza kufanyika kuanzia tarehe 01-07 Mei,2025 katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
Mafunzo hayo yametolewa leo tarehe 29 Aprili,2025 na Maafisa kutoka Ofisi ya Tume Huru ya Uchaguzi pamoja na Wataalam kutoka Halmashauri Manispaa ya Shinyanga.
Ikumbukwe kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari ka kudumu la wapiga kura kwa jimbo la Uchaguzi Shinyanga Mjini Litafanyika kwa siku saba kuanzia Mei 01- 07, 2025 ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.