• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MANISPAA YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO

Posted on: May 4th, 2023

Na. Shinyanga MC

Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imepongezwa kwa kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato kwa mwaka wa fedha 2022/2023 ambapo mpaka kufikia Aprili, 2023 Manispaa imekusanya zaidi ya Bilioni 5 sawa na asilimia 108 dhidi ya lengo la asilimia 100 iliyokadiriwa.

Pongezi hizo zimetolewa leo terhe 4 Mei, 2023 na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi alipokuwa akitoa salamu za Serikali katika Mkutano wa Baraza la Madiwani lililofanyika katika Ukumbi wa Lewis Kalinjuna uliopo Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanya.

"Nichukue fulsa hii kuwapongeza sana Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ukiongozwa na Mstahiki Meya Mhe. Elias Masumbuko kwa upande wa Madiwani na Ndg. Jomaary Satura kwa upande wa Menejimenti na watumishi wote wa Manispaa kwa namna ambavyo mnafanya kazi kwa umoja, juhudi, maarifa na ubunifu mkubwa katika kukusanya mapato ya Serikali hadi kufikia Aprili 2023 tayari mmevuka  lengo la mwaka, hongereni sana kwa hatua hii", alisema Mhe. Johari.

Pamoja na pongezi hizo lakini Mhe. Johari alisisitiza zaidi katika ubunifu, bidii na nidhamu ya fedha za Serikali na katika uongezaji wa vyanzo vya mapato ili kuongeza wigo wa ukusanyaji na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iweze kutekeleze kwa kasi zaidi jambo ambalo litawaletea maendeleo wananchi ambao ndiyo wenye miradi na fedha zao.

Aidha alikumbusha juu ya umuhimu wa kutunza mazingira, vyanzo vya maji na usafi kwa ujumla kwakuwa Tanzania kama Nchi inajumuika na nyingine katika kupambana na masuala ya Tabia Nchi jambo ambalo ni Ajenda ya dunia kwa sasa. Huku akiwaeleza kuwa kuna ujio wa Mwenge wa Uhuru ambao unayo Kauli Mbiu inayosisitiza utunzaji wa mazingira na kwa Manispaa Mwenge utapokelewa tarehe 28 Julai, 2023.

Awali Ndg.Mensaria Mrema (Afisa Mipango) akisoma taarifa ya utekelezaji kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa alisema kwa kipindi cha robo ya 3, 2023 Manispaa imepokea Tzs. 1, 715, 900,000/ ikiwa ni fedha za bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Elimu na ujenzi wa nyumba za viongozi.



Picha ikimuonesha Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga (aliyesiama) akitoa ufafanuzi wa jamho wakati mkutano wa Baraza la Madiwani  Mei 4, 2023 katika ukumbi wa Lewis Kalinjuna uliyopo Ofisi ya  Mkurugenzi wa Manispaa.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Ndg. Jomaary Mrisho Satura akimkaribisha Mstahiki Meya kwa ajili Itifaki ya Mkuu wa Wilaya mapema leo katika mkutano wa Madiwani.

Muonekano wa baadhi ya waheshimiwa madiwani kaika picha ya ukumbini kahla ya kuanza kwa mkutano.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.