- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Zoezi la utoaji wa chanjo ya Surua na Rubella kwa watoto wenye umri wa kuanzia miezi 9 mpaka watoto chini ya miaka 5 lilianza tarehe 15 Februari, 2024 na kuhitimishwa tarehe 18 Februari, 2024.
Ambapo katika zoezi hili Halmshauri ya Manispaa ya Shinyanga imevuka lengo kwa kuwapatia chanjo ya Surua na Rubella watoto 28,305 sawa na asilimia 117.7% lengo ilikuwa kuchanja watoto 24,047.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.