• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MANISPAA YA SHINYANGA YATWAA VIKOMBE VITATU UMISSETA NGAZI YA MKOA 2025.

Posted on: June 10th, 2025

MANISPAA YA SHINYANGA YATWAA VIKOMBE VITATU UMISSETA NGAZI YA MKOA 2025


Na: Shinyanga Mc


Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imeibuka kidedea katika Mashindano ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) kwa ngazi ya mkoa, baada ya kutwaa jumla ya vikombe vitatu. Manispaa hii imeshinda nafasi ya kwanza katika michezo ya Mpira wa Wavu (wavulana), Mpira wa Pete (wasichana), na Mpira wa Mezani (wasichana).


Wakikabidhi vikombe leo Juni 10, 2025 kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze Afisa michezo manispaa ya Shinyanga Ndg. Anoldus Rukiza, Mratibu wa Michezi Manispaa ya Shinyanga Mwl. Stephano Yeyeye Pamoja na Afisa Elimu Taaluma Manispaa ya Shinyanga Mwl. Richard Makoye. Mkurugenzi wa Manispaa Mwl. Kagunze amewapongeza waratibu, wakufunzi, walimu na wanafunzi wote walioshiriki kwa bidii na kuonesha juhudi kubwa zilizowezesha ushindi huo wa kihistoria.


“Nawapongeza kwa dhati waratibu wetu wa michezo, wakufunzi, walimu na wanafunzi wote waliowakilisha Manispaa ya Shinyanga kwa mafanikio makubwa. Ushindi huu ni ushahidi wa juhudi, mshikamano na nidhamu ya hali ya juu. Tuendelee kuwekeza katika vipaji vya vijana wetu kwani michezo ni sehemu muhimu ya maendeleo ya elimu na jamii kwa ujumla,” amesema Mwl. Kagunze


Mashindano ya UMISSETA mwaka huu yanaongozwa na kaulimbiu isemayo:“Viongozi bora ni msingi wa maendeleo ya Taaluma, Sanaa na Michezo. Shiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa Amani na Utulivu.” Ambapo kitaifa, yanafanyika Mkoani Iringa, yakiwakutanisha vijana wenye vipaji kutoka kila kona ya Tanzania.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.