- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Ndg. Jomaary M. Satura anautaarifu Umma kuwa, Manispaa imepokea kiasi cha fedha Tshs. 2,051,694,000/= kutoka Serikali Kuu na Mfuko wa Jimbo.
Fedha hizi ni kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Utawala, Hospitali ya Wilaya, Bweni la Shule ya Msingi Buhangija, Ukamilishaji wa Zahati na Ununuzi wa vifaa Tiba.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.