• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MANISPAA YA SHINYANGA YAKABIDHI PIKIPIKI MOJA KWA MTENDAJI KATA WA KATA YA MWAWAZA

Posted on: March 12th, 2023

Halmashauri ya Maninspaa ya Shinyanga  imekabidhi Pikipiki moja  kwa Mtendaji wa Kata ya Mwawaza ambayo imetolewa na Serikali Kuu ikiwa ni sehemu ya Pikipiki zilizotolewa kwa ajili ya Watendaji Kata Nchi nzima kwa lengo la kuwarahisishia utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

Akizungumza wakati wa halfa fupi ya kukabidhi pikipiki hiyo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Masumbuko amesema kuwa, anamshukuru sana Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwakumbuka Watendaji wa Kata ambao kwa sehemu kubwa wamekuwa wakishughulika na wananchi moja kwa moja.

Pamoja na maelekezo mengine, Mhe. Masumbuko amemtaka Mtendaji Kata huyo kwenda kuitumia kwa malengo yaliyokusudiwa na kuhakikisha kuwa chombo hicho kinatunzwa zaidi na siyo kwenda kuitumia tofauti na maelekezo kusudiwa.

"Kwanza tunamshukuru sana Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwajali Watendaji wa Kata na hata kuwapatia vitendea kazi ambapo kwetu sisi Manispaa ya Shinyanga tumepata pikipiki moja ambayo leo hii tarehe 10/3/2023 tunamkabidhi Mtendaji Kata ya Mwawaza kwa kuzingatia Jiografia ya eneo hilo na kuwa sehemu kubwa ya makazi huko yametawanyika, hivyo chombo hiki kitaenda kusaidia kusogeza huduma karibu na wananchi na ndiyo kusudio la Serikali," amesema Mhe. Masumbuko.

Awali akimkaribisha Mhe. Masumbuko kukabidhi, Mkuu wa Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Manispaa ya Shinyanga Bi. Getrude Gisema alisema kuwa Manispaa imebahatika kupata mgawo wa pikipiki moja ambayo imekwishafika na ambayo atapatiwa Mtendaji Kata ya Mwawaza kwa kuzingatia eneo hilo lilivyo na mahitaji pia.

Kwa upande wake Mtendaji wa Kata ya Mwawaza  Ndg. Gaudios Mombeki alimshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa Watendaji Kata na hivyo kuamua kuwarahisishia kazi zao huku akiahidi kwenda kuitunza, kuongeza ufanisi wa kazi zake za kila siku kwa kuwafikia wananchi kwa urahisi na kwenda kuongeza ukusanyaji wa mapato sambamba na kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa vitendo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.