- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Manispaa ya Shinyanga yaendelea na utoaji wa chanjo ya homa ya mapafu ya ng’ombe ambapo zoezi hili lilianza rasmi tangu tarehe 14 Mei, 2024 na linategemea kumalizika tarehe 1 Juni, 2024.
Zoezi hili linafanyika kwa kila kata na kufanywa na wataalam kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ambapo ng’ombe wote wanakusanywa katika mabanio ya kata husika na kupatiwa chanjo.
Jumla ya kata 17 zitafikiwa na huduma hii na mpaka sasa kata 7 zimeshakwisha nufaika na chanjo hii ikiwemo kata ya kolandoto, Ndala, Masekelo, Mwawaza, Chibe, Old Shinyanga na Mwamalili.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.