• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MANISPAA YA SHINYANGA YAADHIMISHA SIKU YA MISITU DUNIANI KWA KUPANDA MITI

Posted on: March 21st, 2025

Halmashauri ya manispaa ya shinyanga Katika kuadhimisha siku ya misitu  sambamba na Siku ya upandaji miti kitaifa imepanda na kugawa jumla ya miche 1200 ya matunda na kimvuri katika soko la wazi mnada wa wajasiliamali wadogowadogo lililopo mtaa wa Dome kata ya Ndembezi Halmashauri ya manispaa ya shinyanga.


Akizungumza katika zoezi hili la upandaji miti Mkuu wa Idara ya Maliasili  na mazingira Manispaa ya Shinyanga Ndg. Ezra Manjerenga amesema kwa kutambua umuhimu wa utunzaji miti na mazingira uongozi wa manispaa ya shinyanga umepanda miti ya kimvuri na matunda katika eneo soko la wazi (MNADA) lililopo mtaa wa dome kata ya ndembezi huku akiwataka wananchi na wafanyabiashara kuitunza ili iweze kukua.


“Uongozi wa manispaa ya shinyanga katika kuadhimisha siku ya misitu duniani umeamua kupanda miti hii ya kimvuri na matunda katika eneo hili la mnada, rai yangu kwa wajasiliamali katika eneo hili tuitunze ili iweze kukua na kutoa matunda na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, lakini nitoe wito kwa wananchi wa manispaa ya shinyanga kufika ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa ya shinyanga kuchukua miche ya miti ambayo inatolewa bure”. Amesema Ndg. Majerega


Katika hatua nyingine Ndg. Manjerenga  amesema manispaa ya shinyanga imetunga sheria ndogo  ya usafi wa mazingira dhidi ya waharibifu wa mazingira kwa kukata miti hovyo ambapo faini ni Tshs 50,000 hadi Tshs 300,000 au kifungo jela miezi sita.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.