- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) akimkabidhi cheti cha pongezi Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Manispaa ya Shinyanga Bi. Jesca Kipingu ikiwa ni pongezi kwa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kuwa mshindi wa 18 kwa utoaji taarifa kwa umma kati ya Halmashauri zote 184 Nchini katika sekta ya habari za serikali kwa mwaka 2023/2024, katika kikao kazi cha Maafisa Habari wa Serikali kilichofikia tamati jana jijini Dar es salaam katika ukumbi wa mikutano mlimani city
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.