- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Kwa mwaka wa fedha 2017/2018 awamu ya kwanza Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga inatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi vya wanawake na vijana. Mafunzo hayo yameandaliwa ili kuto tija na ujuzi wa kibiashara kwa vikundi hivyo vya ujasiriamali. Ikiwa ni pamoja na kutoa mkopo wa fedha za kitanzania shilingi milioni 125. Fedha hizo zitatolewa kwa vikundi 20, ikiwa Shilingi milioni 60 kwa vikundi 11 vya wanawawake na shilingi milioni 65 kwa vikundi 9 vya vijana. Mafunzo haya yametolewa na wakufunzi kutoka TCCA, SIDO pamoja na wataalamu wa Halmashauri. Pia mafunzo haya yatawawezesha wajasiriamali kuanzisha, kuendesha biashara na utafutaji masoko pamoja na kuongeza thamani ya bidhaa.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.