• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

Mafunzo ya Uboreshaji wa Ukusanyaji wa Mapato

Posted on: May 8th, 2017

Mkurugenzi wa Manispaa Ndugu Geoffrey Ramadhan Mwangulumbi amefungua mafunzo ya uboreshaji wa ukusanyaji wa mapato katika vyanzo vyote vilivyopo katika Manispaa ya Shinyanga. Mafunzo haya yamefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Lewis Kalinjuna ambapo wakuu wa Idara na vitengo na watumishi wanaohusika na ukusanyaji wa mapato wamehudhuria. Wakati wa kufungua mafunzo hayo, Mkurugenzi wa Manispaa aliwataka watumishi waliohudhuria mafunzo kuitumia fursa hii ya mafunzo kujifunza kwa weredi na kisha baada ya mafunzo watumie ujuzi na elimu waliyoipata katika kuongeza mapato ya Halmashauri kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi wa Manispaa. "Wananchi wanahitaji huduma zetu, wananchi wanahitaji kuboreshewa mazingira yao ya kufanya kazi, wananchi wanahitaji huduma za Afya na elimu zilizo nzuri. Bila kuwa na fedha Halmashauri haitaweza kutoa huduma hizo. Kwa hiyo ni lazima tukusanye mapato ili tupate fedha za kuwahudumia wananchi". Alisema Mkurugenzi wa Manispaa.


Katika picha Mkurugenzi wa Manispaa akitoa neno la ufunguzi wa Mafunzo

Mafunzo haya yamefadhiriwa na mradi wa Benki ya Dunia kupitia kasma ya kujenga uwezo ambapo wataalam washauri wametoka katika timu ya Kanda inayoshughulikia mpango wa Uboreshaji wa miundombinu ya miji. Mradi huu unasimamia jumla ya Halmashauri 18 nchini ambapo Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ni mojawapo ya Halmashauri hizo zinazofadhiliwa. Baadhi ya miundombinu ambayo mradi huu unafadhiri ni ujenzi wa barabara za lami zilizojengwa katika kata ya Mjini.

Katika picha hapo juu Dr F.R Mubiru akieleza mada zitakazofundishwa wakati wa Mafunzo

Katika picha hapo juu ni baadhi wa washiriki wa mafunzo wakisikiliza mada kutoka kwa wataalamu washauri.

Ms. D. Kileo akifundisha namna ya uboreshaji wa ukusanyaji wa mapato

Baadhi ya washiriki wakisikiliza mada za uboreshaji wa ukusanyaji wa mapato

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.