• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

MAFUNZO YA UADILIFU YATOLEWA KWA WAHESHIMIWA MADIWANI, WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO MANISPAA YA SHINYANGA

Posted on: February 14th, 2023

Mafunzo ya Uadilifu ya Viongozi wa Umma yametolewa kwa Waheshimiwa Madiwani, Wakuu wa Divisheni na Vitengo katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ambapo yanatajwa kuwa ni nguzo kuu katika utumishi na utekelezaji wa majukumu ya kila siku.

Akitoa mafunzo hayo Katibu Msaidizi, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Magharibi Ndg. Gerald Mwaitebele, amesema kuwa uzingatiaji wa maadili katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku kwa Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Manispaa ya Shinyanga ukizingatia kuwa Manispaa inatekeleza miradi mikubwa kwa mapato ya ndani na kutoka Serikali kuu.

"Maadili ni dira, muongozo  na kinga kwa Viongozi na watumishi iwapo wataamua kuyaishi na kwamba sasa wataweza kutimiza wajibu wao kikamilifu katika utekelezaji wa majukumu yao kwa Manispaa ya Shinyanga na Taifa kwa ujumla na hivyo kufikia malengo yaliyokusudiwa.

Kwa upande wake Afisa Maadili katika Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya  Magharibi Ndg. Vupala Mbwilo pamoja na mambo mengine aliwakumbusha baadhi ya faida za kuwa na Maadili ni pamoja na kutoa maamuzi sahihi bila upendeleo, uwajibikaji na uwazi, kufanya kazi kwa ushirikiano, kuheshimiana, kupendana katika utekelezaji wa majukumu yao.

Mbwilo alisema kuwa vitendo vingine visivyo vya Maadili ni pamoja na kupingana viongozi kwa kauli hadharani, kutopokea zawadi ya fedha taslimu isiyozidi Shilingi Laki Mbili, kuwa chanzo cha migogoro badala ya kuwa sehemu ya suluhisho.

Pia aliendelea kutaja vitendo visivyo na maadili kwa viongozi na watumishi kwa umma kuwa ni matumizi mabaya ya madaraka, kujipayia mali isivyo halali, kuweka shinikizo kwa mtumishi wa umma ili aadhibiwe au afukuzwe kazi kinyume na Sheria sambamba na kutumia lugha isiyofaa kama vile matusi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.