- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Kata ya Lubaga Leo tarehe 27 Juni, 2024 imefanya maadhimisho ya siku ya afya na lishe kwa kutoa
1: Elimu ya Afua za lishe
2: Upimaji wa Hali ya Utapiamlo kwa watoto wadogo kwa kutumia kipimo cha MUAC.
3: Na utoaji wa Matone ya Vitamin “A” kwa watoto kuanzia miaka 0-5.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.