• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

KONGAMANO/MAJADILIANO NA WATU MBALIMBALI KATIKA KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO KATIKA MAENEO YA MASOKO

Posted on: July 3rd, 2019

 Jumuiya ya Tawala  za Mitaa Tanzania (ALAT) kwa kushirikiana na  Shirika  la  Kimataifa la  Wanawake (UN-WOMEN)  imetekeleza Mradi    wa   Kutokomeza   Vitendo   vya    Unyanyasaji   na   Ukandamizaji   kwa Wanawake  na  Watoto  kwenye  maeneo  ya  masoko   katika Manispaa ya Shinyanga.  Mradi huu ni sehemu ya utekelezaji  wa  Mpango Kazi wa  Kitaifa  wa  Kutokomeza Ukatili  dhidi   ya  Wanawake na  Watoto (MTAKUWWA) wa mwaka 2017/18 - 2021/22.

  Kongamano hilo la majadililiano na watu  mbalimbali yakiwemo madhehebu ya Dini, watu  mashuhuri,  wanasiasa,  Kamati za Masoko,   wamiliki wa  Baa  na  Mahoteli limefanyika leo tarehe 03-07-2019 katika ukumbi wa Kalinjuna uliopo Manispaa ya Shinyanga

   Miongoni   mwa   malengo  ya   utekelezaji  wa   mradi,   huu ni  pamoja  na kutoa     elimu na  kushiriki kikamilifu katika kupinga  unyanyasaji  na  ukatili dhidi  ya wanawake na watoto katika  maeneo ya masoko ambapo wajumbe walitoa maoni mbalimbali

Ikiwa ni hatua ya kupinga ukatili huo.

    Aidha Mwenyekiti wa ALAT-Taifa ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika kongamano hilo,Mstahiki Meya

GulamHafeez Mukadam alifungua kongamano hilo  kwa kuweka mkazo katika suala hilo la unyanyasaji na ukatili dhidi ya wanawake na Watoto huku akisistiza kuwepo kwa ushirikiano katika jamii na Upendo jambo ambalo litapunguza ukatili na unyanyasaji katika jamii.

      Kwa upande mwingine Katibu wa ALAT-Taifa ndg,Elirehema Moses Kaaya alisikitishwa na vitendo hivyo vya ukatili vinavyoendelea katika Mkoa wa Shinyanga na kuwasihi wajumbe kushikamana kwa pamoja ili kufikia lengo la mradi kwa ufanisi.

       Mwezeshaji Godwin Mongi wa Bright Jamii Initiative alizungumzia mada mbalimbali kama vile Ubaguzi na Ukatili,Sababu za ukatili wa kijinsia,Namna mbalimbali za ukatili wa kijinsia,Taasisi zinashughulikia masuala ya jinsia na mwisho akasikiliza maoni ya wajumbe waliokuwa wakijibu swali Kwanini ukatili wa kijinsia unaendelea?

       Mwezeshaji Mwajina Lipinga,ambae ni mratibu wa mpango kazi wa kuzuia ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na Watoto alizungumzia mada ya maeneo ya utekelezaji wa mpango ambayo serikali imeainisha ktk kuhakikisha utokomezaji dhidi ya ukatili unafanikiwa.

       Mwisho wajumbe walitoa mapendekezo mbalimbali kwa kuainisha vyanzo vya rasirimali watu na rasirimali vitu ili kuendeleza mapambano dhidi ya ukatili na unyanyasaji wa wanawake na Watoto.


YAFUATAYO NI MATUKIO KATIKA PICHA


Padri akifanya maombi kabla ya kuanza kwa kongamano  la kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto katika maeneo ya soko.



Mufti akiomba dua ili kongamano liende vizuri chini ya ulinzi wa Mwenyezi Mungu



Wajumbe katika kongamano la kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto katika maeneo ya soko,Manispaa ya Shinyanga.



Mwezeshaji Godwin Mongi akiwasilisha Mada katika kongamano la kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto.




Mwezeshaji Mwajina Lipinga akiwasilisha Mada katika kongamano la kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto.





Mmoja wa wajumbe akichangia hoja 

 katika kongamano la kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto.





Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.