- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2025, Ndg. Ismail Ali Ussi, katika mwendelezo wa kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo manispaa ya Shinyanga, ameridhishwa na kuweka jiwe la msingi katika Ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami Barabara ya Kenyata hadi Karena yenye jumla ya Tsh milioni 605,000,000, Barabara hii ni mkombozi mkubwa kwa wakazi wa wa mnispaa ya shinyanga, kwani inakwenda kumaliza changamoto ya vumbi, mashimo na makorongo waliokuwa wakikumbana nayo hususan wanapokwenda kupata huduma za afya katika Kituo cha Afya Kambarage.KIO
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.