- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YA MANISPAA YA SHINYANGA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
NA. SHINYANGA MC
Kamati ya Fedha na Utawala ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ikiongozwa na Mstahiki Meya wa Manispaa Mhe. Elias Masumbuko leo tarehe 22 Julai, 2023 wametembelea na kukagua Miradi mbalimbali ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Miradi hiyo ni Pamoja na ujenzi na upanuzi wa miundombinu kwa kidato cha 5 katika shule ya sekondari Old Shinyanga,Ujenzi wa shule ya wasichana Shinyanga, Ujenzi wa jengo la dharura [EMD] katika hospitali ya Manispaa, Ujenzi wa Madarasa shule ya Msingi Ibadakuli na Ujenzi wa Jengo la Utawala Manispaa ya Shinyanga.
Lengo la ziara hiyo ni kuangalia hatua ipi imefikia ya utekelezaji wa Miradi Pamoja na kutilia nguvu palipokuwa na changamoto.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.