• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA YAPATA HATI SAFI UKAGUZI WA CAG 2023/2024

Posted on: June 12th, 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga imepongezwa kwa kupata hati safi katika ukaguzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ulioishia Juni 30, 2024. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, wakati wa mkutano maalumu wa baraza la Madiwani kwa ajili ya kujadili taarifa za majibu ya hoja zilizoibuliwa na CAG, kikao kilichofanyika leo, Juni 12, 2025.


Akizungumza katika mkutano huo, DC Mtatiro amesema hati safi hiyo ni kielelezo cha usimamizi mzuri wa rasilimali za umma na ushirikiano imara kati ya uongozi wa Manispaa na Baraza la Madiwani.


“Hati hii ni uthibitisho kuwa Manispaa ya Shinyanga, kwa kushirikiana na Baraza la Madiwani, inafanya kazi kwa ufanisi katika ukusanyaji wa mapato, matumizi sahihi ya fedha, na utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hoja zote zilizobaki ni nyepesi na zinaweza kutatuliwa kwa haraka. Natoa siku saba tu hoja zote ziwe zimejibiwa kikamilifu,” amesema DC Mtatiro.


Awali, akiwasilisha taarifa ya ukaguzi Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Manispaa ya shinyanga, CPA Peter Tarimo, amesema jumla ya hoja 31 ziliibuliwa na CAG, ambapo tayari hoja 3 zimetekelezwa kikamilifu, Halmashauri inaendelea kushughulikia hoja zilizobaki kwa kuwasilisha majibu pamoja na vielelezo kwa Mkaguzi Mkuu wa Nje kwa ajili ya uhakiki.


Kwa upande wake, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Nje wa Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Yusuph Mabwe, ameipongeza Manispaa kwa ushirikiano mzuri na Ofisi ya CAG mkoa katika kushughulikia hoja mbalimbali,


Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga, Mhe. Elias Masumbuko, ameeleza kuwa mwaka 2020 Manispaa ilikadiriwa kukusanya Shilingi Bilioni 3, lakini kutokana na mikakati madhubuti iliyowekwa na wataalamu wa halmashauri kwa kushirikiana na Madiwani, makusanyo ya mwaka 2024 yameongezeka hadi zaidi ya Shilingi Bilioni 6. Huku akitumia fursa hiyo kumpongeza pia Mkurugenzi wa Manispaa kwa juhudi na mikakati yake ya kuhakikisha miradi viporo inakamilika.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.