• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

DC MTATIRO AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA WAVU KANDA YA ZIWA MAGHARIBI.

Posted on: July 29th, 2024

DC MTATIRO AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA WAVU KANDA YA ZIWA MAGHARIBI.


Na. Shinyanga MC


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius S. Mtatiro amezindua kashindano ya mpira wa wavu kanda ya ziwa Magharibi yanayohusisha timu kutoka mikoa minne ambapo

mashindano hayo yamefanyika leo Juni 29, 2024 katika viwanja vya Sabasaba vilivyopo manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga.


Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo Wakili Mtatiro ametoa wito kwa wadau wa michezo kuendelea kuunga mkono mchezo wa mpira wa wavu kama ilivyo kwenye michezo mingine.


“Kwanza niwakaribishe katika wilaya ya Shinyanga, ujio huu unatupatia chachu ya kufanya maboresho kwenye viwanja vyetu vya michezo, kwa niaba ya serikali niwatakie kheri ya mashindano haya na yajayo kwa timu ambazo zitafanikiwa kufuzu kwenda kushiriki mashindano ya kitaifa, lakini pia niendelee kutoa wito kwa wadau wa michezo kuweka nguvu kwenye mpira huu wa wavu kwani mpira huu ni mzuri na umetoa fulsa za ajira kwa vijana wengi”, amesema DC Mtatiro.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mpira wa wavu kanda ya ziwa magharibi Ndg. Jason Rwekaza amesema lengo la mashindano hayo ni kutafuta timu mbili zitakazo kwenda kushiriki kwenye michuano ya kitaifa itakayohusisha timu 14 wanaume na 10 wanawake kutoka kutoka kanda zote hapa nchini.


“Michuano hii ni kwaajili kutafuta washindi wawili wa kwenda kushiriki mashindano ya Tanzania Volleyball National League - TVNL inayotarajia kuanza tarehe 22/07/2024 huko jijini Dar es salaam”, amesema Ndg. Rwekaza.


Naye Katibu mkuu wa chama cha mpira wa wavu Tanzania Ndg. Laurence Safari amesema mashindano hayo ya kanda ya mpira wa wavu yatatoa nafasi kwa washindi kwenda kushiriki mashindano ya kitaifa lakini pia mshindi wa kitaifa atafuzu kwenda kushiriki mashindano ya ligi ya mabingwa ya mpira wa wavu na kuongeza kuwa dhamira ya mashindano hayo ni kuinua mpira wa wavu hapa nchini.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.