• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

DC MTATIRO AFUNGUA MAFUNZO KWA WENYEVITI WA VIJIJI,MITAA NA VITONGOJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA.

Posted on: January 28th, 2025

DC MTATIRO AFUNGUA MAFUNZO KWA WENYEVITI WA VIJIJI,MITAA NA VITONGOJI HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA.


Na: Shinyanga MC.


Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius S.Mtatiro amefungua mafunzo kwa Wenyeviti wa mitaa, vijiji,na vitongoji waliochaguliwa kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27,2024.


Mafunzo haya yamefanyika leo Januari 28, 2025 Katika ukumbi wa mikutano Shule ya Msingi Buhangija Manispaa ya Shinyanga.


Akizungumza kwenye mafunzo haya Wakili Mtatiro amewataka viongozi hao kuwatumikia wananchi ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro ya ardhi pamoja na kutatua kero mbalimbali zinazowakabiri.


“Mlijinadi kwenye kampeni zenu, wananchi wakaelewa sera zenu wakawachagua, haikuishia hapo mkaapa kwenye viapo vyenu mtakuwa waadilifu, mtawatumikia wananchi, agizo langu kwenu nendeni mkawatumikie Wananchi sawasawa na viapo na ahadi mlizowaahidi..” Amesema Wakili Mtatiro.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wenyeviti Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ambaye pia ni Mwenyekiti wa mtaa wa Mitimirefu Ndg. Nasoro Warioba amesema kwa umoja wao Wenyeviti watafanya kazi kwa kushirikiana kwa ukaribi sana kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Halmashauri na Taifa kwa ujumla.


Wenyeviti hao wamepatiwa mafunzo mbalimbali ikiwemo namna ya kupambana na kuzuia Rushwa, Majukumu ya viongozi wa serikali za mitaa, maadili ya uongozi, Usimamizi wa Ardhi Katika mamlaka ya serikali za mitaa pamoja na usimamizi wa miradi shirikishi na utunzaji wa fedha.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.