• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Shinyanga Municipal Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Vision and Mission
    • Core values
    • Strategies
  • Administration
    • Administration Boundary
    • Organization Structure
    • Departments
      • Human resource
      • Secondary Education
      • Primary School
      • Finance
      • Works
      • Agriculture and Cooperative
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Planning, Monitoring and Statistics
      • Hearth
      • Cleaning and Environment
      • Land and Natural Resources
    • Units
      • Information, Communication, Technology and Public Relations
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Election
      • Procurement Management
      • Beekeeping and Forest
  • Investment Opportunities
    • Industrialization
    • Farming Opportunity
    • Livestock Keeping
    • Fish breeding
    • Education Opportunity
    • Health Opportunity
  • Our Service
    • Health services
    • Education services
    • Water Services
    • Agriculture Services
    • Livestock Services
    • Fish breeding
    • Huduma za Watumishi
    • Loans Services
    • Service to rent business rooms
    • Sewage Sanitation Services
    • Business Services
      • Business License
      • Business education
      • Industrial auditing
      • Market Managent
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Councilors
    • List of councilors
    • Committees
      • Finance and Administration Committee
      • Economics, Health and Education Committee
      • Infrastructure Committee
      • Control Aids Committee
      • Ethics Committee
    • Committees Timetable
  • Projects
    • Approved projects
    • On Progress Projects
    • Complete Projects
  • Publications
    • Municipal Bylaws
    • Customer service agreement
    • Strategic plan
    • Reports
    • Application Forms
    • Guidelines
    • Newsletter
  • Media Center
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Video
    • Training

BARAZA LA WAZEE MANISPAA YA SHINYANGA LAWAPONGEZA MSTAHIKI MEYA NA MKURUGENZI WA MANISPAA

Posted on: April 28th, 2023

BARAZA LA WAZEE WA MANISPAA YA SHINYANGA LAWAPONGEZA MSTAHIKI MEYA NA MKURUGENZI WA MANISPAA

Na. Shinyanga MC.

Baraza la Wazee wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa kauli moja limewapongeza Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Masumbuko kwa niaba ya Waheshimiwa Madiwani wote na Ndg. Jomaary Satura kwa niaba ya watumishi wote wa Manispaa kwa utendaji kazi wao bora katika nyanja mbalimbali ikiwamo kuongeza utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Akisoma baadhi ya mafanikio kwa uongozi huo ni pamoja na kupandisha ukusanyaji wa mapato mara mbili zaidi ya awali, kuimarisha nidhamu kwa watumishi na katika matumizi ya fedha za Serikali, uboreshaji wa miundombinu ya ufanyaji biashara na uwezeshaji wananchi kiuchumi  elimu, afya pamoja na kuboresha mazingira na upendeshaji wa mji wa Shinyanga kwa ujumla wake.

Hayo yamesemwa leo terehe 28 Aprili, 2023 na Katibu wa Baraza la Wazee Ndg. Laurent Kashindye wakati wa ikisoma Risala ya Wazee kwa wajumbe wa baraza na uongozi wa Manispaa wakati wa mkutano huo ambao pamoja na wajumbe wake wa Manispaa lakini pia alikuwepo Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Shinyanga mzee Faustine Sengerema.

Akifungua Mkutano huo na kutoa salamu za wazee, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Manispaa  mzee Stephano Tano alisema kuwa Baraza la Wazee linaridhishwa na kufurahishwa sana na mwenendo wa utumishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Ndg. Jomaary Satura na wasaidizi wake wote kwa namna ambavyo wanaiheshimisha  Manispaa kitaifa, katika ubunifu wake na utekelezaji wa mipango yao kisasa zaidi, na Mstahiki Meya Mhe. Elias Masumbuko na Waheshimiwa Madiwani kwa usimamizi ulio bora kabisa kwa Menejimenti hata sasa wameifanya Manispaa kuwa ya kuigwa na Halmashauri nyingine.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga mzee Faustine Sengerema alisema kuwa, kuzinduliwa rasmi kwa Baraza hilo kunakwenda kuimarisha na kutambua thamani ya wazee kwa Manispaa kwakuwa sasa wataanza kushirikishwa rasmi kayika ngazi mbalimbali za maamuzi na vikao rasmi kama vile Baraza la Madiwani, Kamati za Maendeleo za Kata na vikao rasmi vya kila mwaka ambavyo vimetamkwa katika muongozo wa uanzishwaji wa mabaraza ya wazee.

Akitoa salamu kwa niaba ya Manispaa ndg. Satura alisema kuwa katika utekelezaji wake wa shughuli za kila siku, Manispaa inaheshimu sana, inatambua na kuthamini michango na uwepo wa wazee katika Manispaa huku akiwaomba ushirikiano zaidi na kwamba milango ipo wazi Manispaa na wanakaribishwa wakati wowote.

Aidha Mstahiki Meya Mhe. Masumbuko aliwaeleza wazee kuwa yeye na Baraza zima la Manispaa wanapokea ushauri wote uliotolewa, wataufanyia kazi na kwamba waheshimiwa madiwani wanawategemea sana wqzee katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.


MATUKIO KATIKA PICHA


Picha ikionesha baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wazee Manispaa ya Shinyanga wakifuatilia kikao


Mshtahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Masumbuko akielezea jambo wakati wa kikao


Picha ikionesha baadhi ya wajumbe wakiwapongeza viongozi wa Manispaa akiwamo Mkurugenzi wa Manispaa ndg. Jomaary Satura mwenye shati nyeupe.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • View

Latest News

  • RC MHITA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA

    July 01, 2025
  • BOTI MPYA YA UOKOAJI ZIWA VICTORIA YAWASILI MANISPAA YA SHINYANGA.

    June 25, 2025
  • MANISPAA YA SHINYANGA YASAINI MIKATABA YA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MIJI TANZANIA.

    June 25, 2025
  • SALAMU ZA PONGEZI

    June 24, 2025
  • View

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
More Videos

Quick Links

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Varios Report
  • Council bylaws

Related Links

  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • President's Office Public Service Management
  • Ministry of Education,Science and Technology
  • The National Examinations Council of Tanzania
  • Shinyanga Region
  • Sekretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Tanesco S, Mwanza Road

    Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga

    Telephone: +255-28-2763213

    Mobile: 0759 023 788

    Email: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sitemap
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.