- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI ROBO YA PILI 2023/2024
Baraza la Waheshimiwa Madiwani robo ya pili kwa mwaka fedha 2023/2024 limeendelea leo tarehe 16 Februari , 2024 katika ukumbi wa lewis kalinjuna uliopo ofisi za Manispaa ya Shinyanga ambapo kwa siku ya leo ni kupokea taarifa mbalimbali kutoka Tasisi za Serikali pamoja na kamati za kudumu
Taarifa za kamati za kudumu zilizowasilishwa na kujadiliwa ni
1.Kamati ya kuthibiti ukimwi
2.Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
3.Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
4.Kamati ya Fedha na Utawala
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.