- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI ROBO YA KWANZA 2023/2024
Baraza la Waheshimiwa Madiwani robo ya kwanza kwa mwaka fedha 2023/2024 linaendelea leo tarehe 31 Oktoba, 2023 katika ukumbi wa lewis kalinjuna uliopo ofisi za Manispaa ya Shinyanga ambapo taarifa mbalimbali kutoka Tasisi za Serikali pamoja na kamati za kudumu mbalimbali zitawasilisha na kujadiliwa
Taarifa za kamati za kudumu zitakazo wasilishwa na kujadiliwa ni
1.Kamati ya kuthibiti ukimwi
2.Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
3.Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
4.Kamati ya Fedha na Utawala.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.