- Home
- About Us
- Administration
- Investment Opportunities
- Our Service
- Councilors
- Projects
- Publications
- Media Center
Kujiunga na CHF iliyoboreshwa ni rahisi sana, kwanza unaanzia kwenye mtaa wako kwa kumtafuta Afisa mwandikishaji kama utaona ni vigumu nenda kwenye uongozi wa mtaa wako ili wakuunganishe na Mwandikishaji wa Mtaa wako, vitu vya kuzingatia; 1. Uwe na fedha kiasi cha Tshs.30,000 kwa kaya moja (kaya inanzia mtu mmoja hadi sita wa kaya moja) ni muhimu kuwa na tegemezi wote ulionao watakao jumuisha kaya. 2. Taratibu nyingine hadi kupewa kitambulisho kwa kila mwanachama zitafanywa na Afisa mwandikishaji mwa Mtaa wako.
Tanesco S, Mwanza Road
Postal Address: P.O.Box 28 Shinyanga
Telephone: +255-28-2763213
Mobile: 0759 023 788
Email: md@shinyangamc.go.tz
Copyright ©2018 Shinyanga Municipal Council . All rights reserved.