- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Wafanya kazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wameanza rasmi kutekeleza agizo la Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalohusu udhibiti wa magonjwa yasiyoambukiza kupitia mazoezi ya viungo.( SHINYANGA MANISPAA JOGGING CLUB)
Mazoezi haya yamefanyika leo jumamosi 27/07/2024 katika viunga mbalimbali vya manispaa ya Shinyanga mazoezi ambayo yamehusisha watumishi wa Manispaa ya Shinyanga hali iliyowafanya wananchi wengi kushiriki mazoezi hayo ili kuimarisha afya zao.
Mazoezi haya yatakuwa yanafanyika kila jumamosi ya wiki ili kuendelea kuimarisha mwili na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga