- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
SALAMU ZA PONGEZI
Tunamshukuru kwa dhati Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea Kumuanini Mhe. Mboni Mhita kwa kumteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga tunakupongeza na tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu. Tuna imani kubwa na uongozi wako na tunaamini kuwa, chini ya usimamizi wako mahiri, Mkoa wa Shinyanga utaendelea kusonga mbele na kufikia maendeleo makubwa ya kijamii na kiuchumi. KARIBU MKOA WA SHINYANGA, KARIBU SANA MANISPAA YA SHINYANGA.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga