- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Manispaa ya shinyanga Mwl. Alexius Kagunze akiongea na watumishi ajira mpya wa kada mbalimbali ikiwemo kada za walimu, Watendaji wa kata pamoja na kada ya afya walioajira mwezi Januari mpaka Juni 2025 leo 14 Julai 2025 katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Shinyanga katika mafunzo ya awali (MUKI)
Ambapo Mwl. Kagunze amewataka watumishi hao kwenda kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na maadili ya kiutumishi wa umma na kufanya kazi kwa bidii ili kuendelea kuleta maendeleo mazuri katika manispaa ya shinyanga
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga