- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
PICHA Mkurugenzi wa Manispaa ya shinyanga Mwl. Alexius Kagunze akimtembeza na kumuonesha Mkuu wa Wilaya Wakili @julius_mtatiro miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Shule ya wasichana shinyanga na soko kuu la shinyanga, Kabla ya kupokea ugeni wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa ambayo inatarajiwa kuwasili kesho tarehe 27/03/2024 kwa ajili ya kutembelea na Kukagua miradi hii.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga