- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Peter Masindi leo tarehe 8 Agosti, 2025 katika kijiji cha Seseko Wilaya ya Kishapu
Mwenge wa Uhuru 2025 katika Manispaa ya shinyanga Umeweka Jiwe la Msingi Miradi (3), Umekagua Miradi (2), Umezidua Miradi (2) na kufungua Miradi (2) .
Mwenge wa Uhuru ulivyokuwa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga tarehe 7 Agosti, 2025 ulikimbia umbali wa kilometa 116.5 na dakika 1770.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga