- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Mwl. Alexius Kagunze akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Dkt. kalekwa Kasanga katika kiwanja cha Mpira kikosi cha Jeshi la Wananchi 976 Rejimenti Old Shinyanga mapema leo asubuhi.
Mwenge wa Uhuru ukiwa hapa Manispaa ya Shinyanga utakimbia umbali wa kilomita 116.5 na dakika 1770, Jumla ya Miradi 9 yenye thamani ya bilioni Tsh 1,695,611,967.88 itakaguliwa,kufunguliwa,kuzinduliwa na kuwekewa mawe ya Msingi ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga