- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2025, Ndg. Ismail Ali Ussi, katika mwendelezo wa kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo manispaa ya Shinyanga, ameridhishwa na kuweka jiwe la msingi katika Ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami Barabara ya Kenyata hadi Karena yenye jumla ya Tsh milioni 605,000,000, Barabara hii ni mkombozi mkubwa kwa wakazi wa wa mnispaa ya shinyanga, kwani inakwenda kumaliza changamoto ya vumbi, mashimo na makorongo waliokuwa wakikumbana nayo hususan wanapokwenda kupata huduma za afya katika Kituo cha Afya Kambarage.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga