• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Fedha
      • Ujenzi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Hearth
      • Usafi na Mazingira
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Tecknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Nyuki na Maliasili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uwekezaji wa Viwanda
    • Fursa za kilimo
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Fursa za elimu
    • Fursa za Afya
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma ya utoaji wa Mikopo
    • Kukondisha Vyumba vya Biashara
    • Unyonyaji wa Maji Taka
    • Huduma za Biashara
      • Leseni za Biashara
      • Elimu ya kibiashara
      • Ukaguzi wa Viwanda
      • Usimamizi wa Masoko
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Miundombinu
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya kamati za Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iIliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Mafunzo

KASI YA MAENDELEO SHINYANGA YAMKOSHA RC MHITA

Posted on: September 26th, 2025



KASI YA MAENDELEO SHINYANGA YAMKOSHA RC MHITA

Shule ya Sekondari ya Wasichana Shinyanga Kivutio kwa Miundombinu Bora

Barabara ya Mwawaza kutatua Kero ya Usafiri

Huduma Bora Sekta ya Afya Yasisitizwa

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mboni Mhita amekoshwa na uwepo wa kasi kubwa ya ujenzi wa miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mkoa kwa ujumla.

Mhe. Mhita amebainisha hayo leo Septemba 26, 2025 wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga huku akiwaomba wananchi kutumia fursa za uwepo wa miradi hiyo kujiletea maendeleo.

"Leo hii katika Mkoa wa Shinyanga tumepokea fedha nyingi za miradi ya maendeleo, zaidi ya Tilioni moja zimeletwa na zinaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa uwanja wa ndege wa kisasa wa Shinyanga ambao unakwenda kuwa suluhisho na kivutio kwenye sekta ya usafirishaji wa anga, hii haijawahi kutokea Shinyanga."

Akiongea na walimu pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya wasichana Shinyanga, Mhe. Mhita amepongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kujenga shule hiyo maalumu ya wasichana yenye mindombinu bora ya kujifunzia ambapo pia amewataka wanafunzi wa shule hiyo kuhakikisha wanasoma kwa bidii ili watimize malengo yao.

Akagua barabara ya Mwawaza inayojengwa kwa kiwango cha lami, Mhe. Mhita amemwagiza Mkandarasi anyejenga barabara hiyo kuhakikisha ujenzi wake unakamilika kwa wakati ili kuondoa kero kubwa iliyokuwa ikiwakabiri watumiaji wa barabara hiyo na wananchi wa Shinyanga kwa ujumla.

Mapema akiongea na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga iliyopo Mwawaza Mkuu wa Mkoa amewataka watumishi hao kutoa huduma bora kwa wananchi kwani huduma bora ndio kipimo sahihi cha watumishi hao na Serikali kwa ujumla na si wingi wa miumdombinu iliyopo hapo.



Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • Tazama

Habari Mpya

  • FUATILIA MATUKIO MBALIMBALI YA MANISPAA YA SHINYAGA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII

    September 30, 2025
  • KASI YA MAENDELEO SHINYANGA YAMKOSHA RC MHITA

    September 26, 2025
  • BARAZA LA WAZEE MANISPAA YA SHINYANGA LAADHIMISHA SIKU YA WAZEE KWA KUTOA MSAADA KITUO CHA KOLANDOTO.

    September 20, 2025
  • “ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA LIWE ENDELEVU RC MBONI”

    September 20, 2025
  • Tazama

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
Video Zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Ripoti mbalimbali
  • Sheria Ndogondogo za Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

Tovuti Nyingine tunazohusiana

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa(TAMISEM)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknologia
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Mkoa wa Shinyanga
  • Sekretarieti ya Ajira

wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Tanesco S, Mwanza Road

    Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga

    Simu: +255-28-2763213

    Simu ya Mkononi: 0759 023 788

    Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Ramani ya Tovuti
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga