- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ipo tayari kwa mapokezi Mwenge wa Uhuru 2025, tukio litakalofanyika Agosti07, 2025 katiki kiwanja cha mpira kikosi cha jeshi 976 Rejimenti Old Shinyanga majira ya Saa 1:00 Asubuhi ukitokea halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mwenge wa Uhuru ukiwa manispaa ya shinyanga utakagua, kutembelea , kuzindua, kufungua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa.
Mbio za mwenge wa uhuru Mwaka 2025 zinaongozwa na kaulimbiu isemayo:“Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu.”
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga