- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Habari picha, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2025, Ndg. Ismail Ali Ussi, amezindua mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji safi na salama Kijiji cha Relini kata ya Kizumbi manispaa ya shinyanga mradi wenye lengo la kusogeza huduma karibu na wananchi na kumtua mama ndoo kichwani, mradi uliogarimu jumla Tsh, 199,585,404. 88
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga