• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Fedha
      • Ujenzi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Hearth
      • Usafi na Mazingira
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Tecknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Nyuki na Maliasili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uwekezaji wa Viwanda
    • Fursa za kilimo
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Fursa za elimu
    • Fursa za Afya
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma ya utoaji wa Mikopo
    • Kukondisha Vyumba vya Biashara
    • Unyonyaji wa Maji Taka
    • Huduma za Biashara
      • Leseni za Biashara
      • Elimu ya kibiashara
      • Ukaguzi wa Viwanda
      • Usimamizi wa Masoko
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Miundombinu
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya kamati za Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iIliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Mafunzo

DC SAMIZI AONGOZO MAFUNZO YA USAMBAZAJI NA MATUMIZI YA MATOKEA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NA MAKAZI 2022 MANISPAA YA SHINYANGA

Posted on: November 28th, 2023

DC SAMIZI AONGOZA MAFUNZO YA USAMBAZAJI NA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 MANISPAA YA SHINYANGA


Na. Shinyanga Mc


Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi leo tarehe 28 Novemba, 2023 ameongoza mafunzo ya usambazaji na matumizi ya matokeo ya sensa ya watu na makazi kwa 2022 yaliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika ukumbi wa NSSF Mpya Manispaa ya Shinyanga.


Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo haya ambayo yamehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Viongozi wa dini, watendaji wa kata, Mitaa na Vijiji Mhe. Samizi amewasihi washiriki wa mafunzo haya kusikililiza kwa makini ili kwenda kuwaeleza wanachi matokeo ya sensa na matumizi ya matokeo haya ili kwenda kupanga mipango endelevu kwa maendeleo ya wananchi wote kwa ujumla huku akiipongeza ofisi ya Taifa ya takwimu kwa kazi nzuri ya utekelezaji wa sensa ya watu na makazi


"Kipekee naipongeza ofisi ya takwimu kwa utekelezaji mzuri wa zoezi la sensa ambalo zoezi hili kwa kupokea matokea haya yatakwenda kusaidia kupanga mipango endelevu kwa ajili ya maendeleo kwa ujumla" amesema Mhe. Samizi


Akitoa Wasilisho la Matumizi ya Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022, Mtakwimu Mwandamizi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ndg. Mdoka Omary amesema mkoa wa Shinyanga una wakazi 2,241,299 ambapo halmashauri yenye watu wengi ni Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga watu 468,611 ikifuatiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kahama 453,654 , halmashauri yenye idadi ndogo ya watu katika mkoa wa Shinyanga ni Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga 214, 744.


Matokea haya ya sensa yatakwenda kusaidia katika kuweka mipango itakayotoa majibu ya changamoto mbalimbali za maendeleo zinazowakabili wananchi wa Manispaa ya Shinyanga hususani , mipango inayojielekeza katika kuondoa umasikini wa kipato na usio wa kipato na hatimae kuinua kiwango cha hali ya maisha kama inavyoelekeza Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025 na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2020.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MADEREVA April 14, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA April 27, 2023
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA DUNIANI August 04, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA MAONESHO YA NANENANE 2023 July 31, 2023
  • Tazama

Habari Mpya

  • ALAT YAIPONGEZA MANISPAA YA SHINYANGA KWA UTEKELEZAJI MZURI UJENZI WA JENGO LA UTAWALA.

    May 08, 2025
  • MHE.MASUMBUKO AWATAKA MADIWANI KUSHIRIKIANA KIKAMILIFU KUKABILIANA NA WIZI WA VIFAA VYA MIRADI YA MAENDELEO.

    May 07, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA SHINYANGA LAMPONGEZA MKURUGENZI KWA UTEKELEZAJI MZURI WA MAAGIZO

    May 06, 2025
  • SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA SHULE YA WASICHANA SHINYANGA ILI KUIFANYA KUWA MIONGONI MWA SHULE BORA NCHINI “. NDG. MSIGWA.

    May 03, 2025
  • Tazama

Video

MWENGE WA UHURU HALMASHAURI YA MANISPAA YA SHINYANGA 2024
Video Zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Urban Sanitation and Hygiene | Mazingira Safi Maisha Bora
  • Ripoti mbalimbali
  • Sheria Ndogondogo za Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

Tovuti Nyingine tunazohusiana

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa(TAMISEM)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknologia
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Mkoa wa Shinyanga
  • Sekretarieti ya Ajira

wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Tanesco S, Mwanza Road

    Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga

    Simu: +255-28-2763213

    Simu ya Mkononi: 0759 023 788

    Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Ramani ya Tovuti
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga