- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) ya Shinyanga leo tarehe 13 Novemba, 2023 imefanya kikao katika ukumbi wa lewis kalinjuna uliopo katika ofisi za Manispaa ya Shinyanga ambapo taasisi mbalimbali ziliwasilisha taarifa za utendaji kazi pamoja utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Aidha, katika kikao hiki Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi ndio Mwenyekiti wa kikao.
Pamoja na mambo mengine Mhe. Samizi alikabidhi pikipiki 4 zilizotolewa na Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa Maafisa kilimo wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa ajili ya kurahisisha utendaji kazi na kuwafikia wananchi kwa urahisi ili kuwapatia huduma.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga