- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga anapenda kuwatangazia Watanzania wote kuwa amepata Kibali cha Ajira mbadala chenye Kumb. Na. FA.170|376|01”B”|118 cha Tarehe 06 Fenruari, 2023 kutoka kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa ajili ya kujaza nafasi ya kazi ya Dereva Daraja la II.
Watanzania wote wenye sifa mnakaribishwa kutuma maombi ya kujaza nafasi hiyo kama ifuatavyo:-
Pakua au Download hapa ili kuliona Tangazo >>> TANGAZO[1].pdf
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga