- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anawatangazia wananchi wote kwamba tunafyatua tofali na kuuza zenye viwango bora na zinazokubalika kitaifa na zinapatika kwenye uwanja wa Ofisi ya Mtendaji Kata ya Ngokolo mnakaribishwa Wananchi wote.
Tofali 1= 1200 unaletewa hadi site kwa ujenzi usio Taasisi ndani ya Hamashauri
Tofali 1 = 1600 kwa Taasisi unaletewa hadi site ndani ya Halmashauri
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga