• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Shinyanga Municipal Council
Shinyanga Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Mipaka ya Kiutawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Fedha
      • Ujenzi
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Hearth
      • Usafi na Mazingira
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Tecknolojia, Habari, Mawasiliano na Uhusiano
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Nyuki na Maliasili
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uwekezaji wa Viwanda
    • Fursa za kilimo
    • Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Fursa za elimu
    • Fursa za Afya
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya Afya
    • Huduma ya Elimu
    • Huduma ya Maji
    • Huduma ya kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Ufugaji wa Samaki
    • Huduma za Watumishi
    • Huduma ya utoaji wa Mikopo
    • Kukondisha Vyumba vya Biashara
    • Unyonyaji wa Maji Taka
    • Huduma za Biashara
      • Leseni za Biashara
      • Elimu ya kibiashara
      • Ukaguzi wa Viwanda
      • Usimamizi wa Masoko
      • Prepalation of Good Environment for Investment
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Miundombinu
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya kamati za Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iIliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo za Halmashauri
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
    • Miongozo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Mafunzo

UZINDUZI WA MTARO WA MAJI WA KM 5.22 KATIKA MTAA WA AZIMIO KATA YA LUBAGA

Wednesday 20th, January 2021
@KATA YA LUBAGA

Wananchi wa mtaa wa azimio katika hali isiyokuwa ya kawaida wameshindwa kuvumilia kusubiri bajeti ya Serikali katika kuwatimizia kilio chao cha siku nyingi cha uhaba wa maji hatimaye wameamua kuungana pamoja kwa uzalendo wao wakishirikiana na ofisi ya mtendaji wa kata ya Lubaga Pamoja na Walezi wa kata ndg. Lenard Chepe na Boniphace Marago kujitolea kuchimba mtaro wa bomba la maji upatao km 5.22 ili waondokane na adha ya maji waliyokuwa nayo zaidi ya miaka 40.

  Uongozi wa Chama wilaya ya shinyanga -manispaa wakiongozwa na mheshimiwa mwenyekiti wa CCM. Abubakari GulamHafeez Mukadam Wakishirikiana katika zoezi hilo kwa kutoa hamasa kwa wananchi na kuunga mkono juhudi zao na kushiriki katika uchimbaji wa mtaro pamoja na kuwafuta jasho kwa kiasi cha sh 3,000,000/= (milioni tatu) kutoka ofisi ya mkurugenzi wa manispaa hali kadhalika ofisi ya mstahiki Meya iliahidi kuwafuta kwa kiasi cha sh.1,500,000/=(Milioni moja na laki tano). pia uongozi wa CCM kata ya Ndembezi iliahidi kutoa sh.100,000/= (laki moja) Ambapo sh 50,000/= (elfu hamsini) ilitangulizwa papo hapo.

  Aidha Mtendaji wa kata ya Lubaga Ndg Lucas Venance Nkelege Aliwashukuru wananchi na wadau walioshiriki katika zoezi hilo na kuomba wadau wazidi kujitokeza kuonyesha uzalendo na kuunga mkono juhudi za Wananchi wa Azimio,pia alimuomba Mwenyeketi (Mgeni rasmi) Pamoja na Mstahiki Meya kufanya harambee ndani ya Manispaa ikihusisha Chama cha Mapinduzi (CCM) ,ofisi ya Mkurugenzi na wadau wengine ili kiasi kitakacho patikana kiweze kutatua au kupunguza tatizo la maji ndani ya manispaa nzima ya Shinyanga na sio ndani ya lubaga tu.

  Harambee hiyo inatarajiwa kukusanya zaidi ya shilingi Milioni mia moja (100,000,000/=)

  Ofisi ya Afisa Mtendaji kati ya Lubaga inasema ‘’Shinyanga Manispaa tunaweza Maji ni haki ya kila mtu na Hatungoji bajeti ya serikali,tunatimiza sasa kuunga juhudi ya Serikali ya awamu ya tano ikiongozwa na Raisi wa Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli’’ 

  Kwa pamoja tuunge mkono harambee hii kubwa ya kihistoria ya maji katika Manispaa yetu ya Shinyanga.

Tangazo

  • BIASHARA YA TOFALI November 30, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI December 11, 2020
  • Upandaji wa Miti Manispaa ya Shinyanga September 20, 2017
  • Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2018 Shinyanga December 27, 2017
  • Tazama

Habari Mpya

  • MADIWANI MANISPAA YA SHINYANGA WAAPISHWA RASMI

    December 15, 2020
  • DHAHABU YENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 190 YAUZWA SIKU YA MAONESHO

    December 01, 2020
  • Maonesho 2020

    November 27, 2020
  • MAPAMBANO DHIDI KORONA MANISPAA YA SHINYANGA

    April 21, 2020
  • Tazama

Video

Mtoto ana haki ya kupewa cheti cha kuzaliwa
Video Zaidi

Kiunganishi cha haraka

  • Tangazo la nafasi ya kazi Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
  • Ripoti mbalimbali
  • Sheria Ndogondogo za Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga

Tovuti Nyingine tunazohusiana

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa(TAMISEM)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknologia
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Mkoa wa Shinyanga
  • Sekretarieti ya Ajira

wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana Nasi

    Tanesco S, Mwanza Road

    Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga

    Simu: +255-28-2763213

    Simu ya Mkononi: 0767449364

    Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Ramani ya Tovuti
    • Sera ya faragha
    • Kanusho

Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga