- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Manispaa anawatangazia watumishi na wananchi wote wa Manispaa ya Shinyanga kuwa Jumamosi ya Tarehe 10 Juni 2017 kutakuwa na mazoezi ya mwili kuanzia saa 12 kamili asubuhi katika viwanja vya Chuo cha Ualimu SHYCOM. Mazoezi hayo yataongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Zainab R. Telack. Dhumuni la mazoezi haya ni kudhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga