- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkurugenzi wa Manispaa anawatangazia wafanya biashara wote, wanaofanya biashara katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga bila leseni za Biashara kuwa wanavunja sheria na wanashauliwa to kukata leseni za Biashara.Na kwa wale ambao leseni zao zimeisha mda wake wanatakiwa kukata leseni mpya kapla ya 2017.Kwa wafanyabiashara watakao enda kinyume kwa kuwa na leseni ambayo sio ya 2016-2017,sheria itafuata mkondo. Namna ya kupata leseni Bonyeza hapa
Tanesco S, Mwanza Road
Anwani ya Posta: P.O.Box 28 Shinyanga
Simu: +255-28-2763213
Simu ya Mkononi: 0759 023 788
Baruapepe: md@shinyangamc.go.tz
Haki zote zimehifadhiwa@2018.Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga